Habari Na Makala Zote

MAMLAKA YA USTAWISHAJI MAKAO MAKUU - CDA

Maendeleo Ya Mradi Wa TSCP.

Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) ni miongoni mwa Mamlaka zilizopata ufadhili wa kutekeleza mradi wa Uboreshaji Miji Kimkakati unaofadhiliwa na Mkopo wa Benki ya Dunia na ms......

Soma Zaidi  Imewekwa Tarehe 23-03-2017 20:40:59

WAZIRI MKUU ATEMBELEA MIRADI YA CDA.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea maeneo yaliyopendekezwa kujengwa mji wa Serikali na kujiridhisha kuwa yanatosha kwa ajili ya ujenzi wa makao makuu. Katika ziara hiyo aliyo......

Soma Zaidi  Imewekwa Tarehe 25-10-2016 15:57:31

WAZIRI MKUU AHAMIA DODOMA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuanzia sasa mtu yeyote mwenye shida ya kuonana naye itabidi amfuate Dodoma na kwamba atarudi Dar es Salaam pindi akiitwa na Mheshimiwa Rais au ......

Soma Zaidi  Imewekwa Tarehe 25-10-2016 15:49:17

SAFARI YA KUHAMIA DODOMA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema lengo la serikali kuhamia Dodoma limepamba moto na litafanyika kwa awamu 6 katika kipindi hiki chan serika......

Soma Zaidi  Imewekwa Tarehe 25-10-2016 15:45:35

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema uamuzi wa  Serikali kuhamia Dodoma siyo siasa kama watu wanavyodhani.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema uamuzi wa  Serikali kuhamia Dodoma siyo siasa kama watu wanavyodhani bali ni utekelezaji wa maamuzi kamili na kwamba serikali imekamilis......

Soma Zaidi  Imewekwa Tarehe 05-08-2016 07:51:13

CDA yajieleza viwanja vya Dodoma.

CHANGAMOTO kubwa ya upatikanaji wa viwanja ni miongoni mwa masuala yanayowasibu wakazi wa Dodoma.
Hali hiyo imepelekea malalamiko mengi miongoni mwa wananchi huku Mamlaka ......

Soma Zaidi  Imewekwa Tarehe 05-08-2016 07:46:45

Sheria ya Dodoma kuwa Makao Makuu ‘yapikwa’ .

SERIKALI imeanza kutengeneza sheria ya kutambulisha Dodoma kama Makao Makuu ya nchi na inatarajiwa kupelekwa bungeni ili kuondoa changamoto ya migogoro baina ya Mamlaka ya Ustaw......

Soma Zaidi  Imewekwa Tarehe 05-08-2016 07:23:07

MAMLAKA YA USTAWISHAJI MAKAO MAKUU

 Kurasa Za Karibu

Wasiliana Nasi

Mkurugenzi Mkuu
S.L.P 913
Dodoma,Tanzania
Simu:   +255 262321569/+255 262324053
Barua Nukushi:   +255 26 2322650
Barua Pepe:   info@ cda.go.tz
Tovuti:   www.cda.go.tz

Tufuate Kwenye: